Isaya 36:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni nani miongoni mwa miungu ya nchi hizi aliyeokoa nchi zao katika mkono wangu, hata iwe kwamba Mwenyezi-Mungu ataweza kuuokoa mji wa Yerusalemu mkononi mwangu?”

Isaya 36

Isaya 36:10-22