Isaya 35:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Waambieni waliokufa moyo:“Jipeni moyo, msiogope!Tazameni Mungu wenu atakuja kulipiza kisasi,atakuja kuwaadhibu maadui zenu;atakuja yeye mwenyewe kuwaokoeni.”

Isaya 35

Isaya 35:1-5