Isaya 34:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Jeshi lote la angani litaharibika,anga zitakunjamana kama karatasi.Jeshi lake lote litanyauka,kama majani ya mzabibu yanyaukavyo,naam, kama tunda la mtini linyaukavyo.

Isaya 34

Isaya 34:1-8