Mwenyezi-Mungu amepanga sehemu ya kila mmoja wao,ametumia kamba kuwapimia nchi hiyo;wataimiliki milele na milele,wataishi humo kizazi hata kizazi.