Itakuwa makao ya kozi na nungunungu,bundi na kunguru wataishi humo.Mwenyezi-Mungu atawaletea ghasia,na timazi la fujo kwa wakuu wake.