Isaya 33:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Ewe Siyoni, kamba zako zimelegea,haziwezi kushikilia matanga yake,wala kuyatandaza.Lakini nyara nyingi zitagawanywa;hata vilema wataweza kuchukua sehemu yao.

Isaya 33

Isaya 33:17-24