Tazameni Siyoni tunamofanya sikukuu zetu;tazameni mji Yerusalemu, makao matulivu, hema imara;vigingi vyake havitangolewa kamwe,kamba zake hazitakatwa hata moja.