Isaya 33:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtafikiria tisho lililopita na kujiuliza,“Wako wapi wale waliokadiria na kukisia kodi?Wako wapi wale waliopeleleza ulinzi wetu?”

Isaya 33

Isaya 33:15-24