Isaya 33:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni mtu aishiye kwa uadilifu na asemaye ukweli;mtu anayedharau kabisa utajiri wa dhuluma,anayekataa hongo kata kata,asiyekubali kamwe kusikia mipango ya mauaji,wala hakubali macho yake yaone maovu.

Isaya 33

Isaya 33:12-21