Isaya 33:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Ole wako ewe mwangamizi,unayeangamiza bila wewe kuangamizwa!Ole wako wewe mtenda hila,ambaye hakuna aliyekutendea hila!Utakapokwisha kuangamizawewe utaangamizwa!Utakapomaliza kuwatendea watu hilawewe utatendewa hila.

Isaya 33

Isaya 33:1-7