Isaya 32:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Kila mmoja atakuwa kama mahali pa kujikinga na upepo,kama mahali pa kujificha wakati wa tufani.Watakuwa kama vijito vya maji katika nchi kame,kama kivuli cha mwamba mkubwa jangwani.

Isaya 32

Isaya 32:1-11