Isaya 32:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana ikulu ya mfalme itaachwa mahame,mji huo wa watu wengi utahamwa.Mlima na mnara wa ulinzi utakuwa mapango milele,pundamwitu watapitapita huko kwa furaha,kondoo watapata malisho yao humo.

Isaya 32

Isaya 32:7-20