Hapo Waashuru watauawa kwa upanga,lakini si kwa upanga wa binadamu;naam, wataangamizwa kwa upangaambao ni zaidi ya ule wa binadamu.Waashuru watakimbiana vijana wao watafanyizwa kazi za kitumwa.