Isaya 31:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu aliniambia:“Kama vile simba au mwanasimba angurumavyokuyakinga mawindo yake,hata kundi la wachungaji likiitwa kumkabili,yeye hatishiki kwa kelele zao,wala hashtuki kwa sauti zao.Ndivyo atakavyoshuka Mwenyezi-Mungu wa majeshikupigana juu ya mlima Siyoni na kilima chake.

Isaya 31

Isaya 31:1-7