Isaya 30:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Pumzi yake ni kama mafuriko ya mtoambao maji yake yanafika hadi shingoni.Anakuja kuyachekecha mataifa kwa chekecheke ya maangamizi,kuwafunga lijamu na kuwapeleka wasikotaka.

Isaya 30

Isaya 30:20-33