Isaya 30:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, dhambi hii itawaleteeni maangamizikama ufa mkubwa katika ukuta mrefu;utabomoka mara na kuanguka chini ghafla.

Isaya 30

Isaya 30:5-19