Isaya 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Ubaguzi wao unashuhudia dhidi yao;wanatangaza dhambi yao kama ya Sodoma,wala hawaifichi.Ole wao watu hao,kwani wamejiletea maangamizi wenyewe.

Isaya 3

Isaya 3:1-11