Isaya 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huo ndugu atamwambia ndugu yakewakiwa bado nyumbani kwa baba yao:“Wewe unalo koti;utakuwa kiongozi wetu.Chukua hatamu juu ya uharibifu huu!”

Isaya 3

Isaya 3:1-16