Isaya 29:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Hapo, kundi la mataifa yote yanayoshambulia Yerusalemu,wote wanaoshambulia ngome yake na kuutia wasiwasi,watatoweka kama ndoto, kama maono ya usiku.

Isaya 29

Isaya 29:1-16