Isaya 29:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Utaangushwa mbali sana ndani ya ardhi;kutoka huko mbali utatoa sauti;maneno yako yatatoka huko chini mavumbini;sauti yako itatoka ardhini kama ya mzimu.

Isaya 29

Isaya 29:1-12