Isaya 28:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Wao wananidhihaki na kuuliza:“Huyu nabii ataka kumfundisha nani?Je, anadhani atatueleza sisi ujumbe wake?Je, sisi ni watoto wachangawalioachishwa kunyonya juzijuzi?

Isaya 28

Isaya 28:3-19