Isaya 28:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata hivyo yeye alikuwa amewaahidi:“Nitawaonesheni pumziko,nitawapeni pumziko enyi mliochoka.Hapa ni mahali pa pumziko.”Lakini wao hawakutaka kunisikiliza.

Isaya 28

Isaya 28:10-16