Isaya 28:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Ole wenye majivuno na walevi wa Efraimu,fahari yake inatoweka kama ua linalonyauka!Naam, fahari iliyotawala bondeni kwenye rutubarutuba;na vichwani kwao walio watu walevi kupindukia!

Isaya 28

Isaya 28:1-7