Isaya 27:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Itakuja siku wazawa wa Yakobo watashika mizizi;naam, watu wa Israeli watachanua na kuchipua,na kuijaza dunia yote kwa matunda.

Isaya 27

Isaya 27:1-13