Isaya 27:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Mimi, Mwenyezi-Mungu, ni mkulima wake;nalimwagilia maji kila wakati,ninalilinda usiku na mchana,lisije likaharibiwa na mtu yeyote.

Isaya 27

Isaya 27:1-12