Isaya 26:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana Mwenyezi-Mungu aja kutoka kwake juu,kutoka makao yake huko mbinguni;kuwaadhibu wakazi wa dunia kwa uovu wao.Nayo dunia haitaficha tena wale waliouawa,ila itaufichua umwagaji damu wote.

Isaya 26

Isaya 26:14-21