Isaya 26:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Wafu wako wataishi tena,miili yao itafufuka.Wanaolala mavumbini wataamka na kuimba kwa furaha!Mungu atapeleka umande wake wa uhai,nao walio kwa wafu watatoka hai.

Isaya 26

Isaya 26:18-21