Isaya 26:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Ee Mwenyezi-Mungu umeinua mkono kuwaadhibu,lakini maadui zako hawauoni.Waoneshe uwapendavyo watu wako nao wataaibika.Moto wa hasira yako uwateketeze maadui zako!

Isaya 26

Isaya 26:7-14