Isaya 24:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha mwezi utaaibishwa,nalo jua litaona aibu kuangaza,kwa kuwa Mwenyezi-Mungu wa majeshiatatawala huko Yerusalemu katika mlima Siyoni;ataonesha wazee wa watu wake utukufu wake.

Isaya 24

Isaya 24:17-23