Isaya 24:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Atakayeikimbia hofu atatumbukia shimoni;atakayetoka shimoni atanaswa mtegoni.Madirisha ya mbinguni yamefunguliwa,misingi ya dunia inatikisika.

Isaya 24

Isaya 24:8-21