Isaya 23:16 Biblia Habari Njema (BHN)

“Twaa kinubi chakouzungukezunguke mjini,ewe malaya uliyesahaulika!Imba nyimbo tamutamu.Imba nyimbo nyinginyingiili upate kukumbukwa tena.”

Isaya 23

Isaya 23:9-18