Isaya 23:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu ameunyosha mkono wake juu ya bahari,amezitetemesha falme;ametoa amri kuziharibu ngome za Kanaani.

Isaya 23

Isaya 23:5-14