Isaya 23:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Kauli ya Mungu dhidi ya Tiro.Ombolezeni, enyi mabaharia wa mbali baharini,maana Tiro mji wenu umeharibiwa,humo hamna tena makao wala bandari.Mtazipokea habari hizo mtakaporejea kutoka Kupro.

Isaya 23

Isaya 23:1-8