Mabonde yako mazuri ewe Yerusalemu,yalijaa magari ya vita na farasi;wapandafarasi walijipanga tayari langoni mwako.