Isaya 22:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana leo Mwenyezi-Mungu wa majeshiametuletea mchafuko:Kushindwa na wasiwasi katika Bonde la Maono.Kuta za mji zimebomolewa,mayowe ya wakazi wake yasikika mpaka milimani.

Isaya 22

Isaya 22:4-11