Isaya 22:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini nyinyi mkafurahi na kusherehekea.Mlichinja ng'ombe na kondoo,mkala nyama na kunywa divai.Nyinyi mlisema:“Acha tule na kunywamaana kesho tutakufa.”

Isaya 22

Isaya 22:8-14