Isaya 2:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Nao wataingia katika mapango miambanina kwenye nyufa za miamba,kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu,mbali na utukufu wa enzi yake,atakapokuja kuitia hofu dunia.

Isaya 2

Isaya 2:13-22