Isaya 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Ingieni katika mapango miambani,katika mashimo ardhini,kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu,mbali na utukufu wa enzi yake,atakapokuja kuitia hofu dunia.

Isaya 2

Isaya 2:9-22