Mataifa yananguruma kama ngurumo ya maji mengi,lakini Mungu atayakemea, nayo yatakimbilia mbali.Yatafukuzwa kama makapi mlimani mbele ya upepo;kama vumbi litimuliwalo na kimbunga.