Isaya 16:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Mashamba ya Heshboni yamefifia.Kadhalika na zabibu za Sibmaambazo ziliwalevya wakuu wa mataifazikafika Yazeri na kusambaa hata jangwani,chipukizi zake zikafika hata ngambo ya bahari.

Isaya 16

Isaya 16:4-14