Maji ya Diboni yamejaa damu,lakini Mungu ataongeza msiba wa Diboni.Hao wachache watakaobaki haina kukimbia kutoka nchini Moabu,watapelekewa simba wa kuwaua.