Isaya 14:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitauvunja uwezo wa Waashuru nchini mwangu;nitawakanyagakanyaga katika milima yangu.Nitawaondolea watu wangu nira ya dhuluma yao,na mzigo wa mateso yao.”

Isaya 14

Isaya 14:15-28