Isaya 14:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini wewe umetupwa nje ya kaburi lako;kama mtoto wa kuchukiza aliyezaliwa mfumaiti yako imekanyagwakanyagwa,umerundikiwa maiti za waliouawa kwa upanga,waliotupwa mashimoni penye mawe.

Isaya 14

Isaya 14:11-21