Watu watafadhaika,watashikwa na hofu na maumivu,watakuwa na uchungu kama mama anayejifungua.Watatazamana kwa mashaka,nyuso zao zitawaiva kwa haya.