Isaya 13:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Sikilizeni kelele milimanikama za kundi kubwa la watu!Sikilizeni kelele za falme,na mataifa yanayokusanyika!Mwenyezi-Mungu wa majeshianalikagua jeshi linalokwenda vitani.

Isaya 13

Isaya 13:1-8