Mbwamwitu watalia ndani ya ngome zake,mbweha wataonekana ndani ya nyumba zao za anasa.Wakati wa Babuloni umekaribia,wala siku zake hazitaongezwa.”