Kamwe hautakaliwa tena na watu,watu hawataishi humo katika vizazi vyote.Hakuna Mwarabu atakayepiga hema lake humo,wala mchungaji atakayechunga wanyama wake humo.