Isaya 11:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mbwamwitu ataishi pamoja na mwanakondoo,chui watapumzika pamoja na mwanambuzi.Ndama na wanasimba watakula pamoja,na mtoto mdogo atawaongoza.

Isaya 11

Isaya 11:1-16