Isaya 11:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Atawapatia haki watu maskini,atawaamulia sawasawa wanyonge nchini.Kwa neno lake ataiadhibu dunia,kwa tamko lake atawaua waovu.

Isaya 11

Isaya 11:1-13