Naye atatweka bendera kuwaashiria mataifa,kuwakusanya Waisraeli waliodharauliwa,kuwaleta pamoja watu wa Yuda waliotawanywa,na kuwarudisha toka pembe nne za dunia.